Kucheza
Dansi Tena 2022

Dansi Tena 2022
Picha: Time2Dance

Online
Goethe-Institut Dar es Salaam

Karibu tena kwenye Dansi Tena 2022, jukwaa la mtandaoni linalotoa fursa ya kukuza watunzi vijana wa kitanzania wa dansi kuonesha uwezo wao wa kisanaa.
Jina la onesho ni Kunyanyuka & kuanguka lililoandaliwa na Godchance & Sisti na kuchezwa na Godchance & Sisti.
Onesho litakuwa mtandaoni tarehe 26.05.2022.
Fuata tarehe.

Maelezo

Goethe-Institut Dar es Salaam

Alykhan Road No. 63, Upanga
P.O. Box 9541 Daressalam