Kozi za Kijerumani nchini Ujerumani

Mafunzo ya Kijerumani kutokaa Goethe-Instituts nchini Ujerumani ni zaidi ya kozi ya lugha: Ni fursa kwako kuifahamu nchi na utamaduni wake, kuwafahamu watu na maisha yao ya kila siku, na kupata uzoefu wa kitu kipya. Kwa kifupi: Ni wazo la busara kabisa.

Deutschkurse in Deutschland © Clerkenwell, Stockbyte, Getty Images

Kozi za Kijerumani nchini Ujerumani

Jifunze Kijerumani nchini Ujerumani – njia ya ufanisi. Furahia utamaduni na burudani. Ijue nchi na watu wake!

Kinder- und Jugendkurse in Deutschland © Sturti

Kozi nchini Ujerumani kwa ajili ya watoto na vijana

Burudani, michezo ya aina mbalimbali na lugha: Jifunze Kijerumani upate fursa ya kukutana na watoto pamoja na vijana kutoka kote duniani!