Kozi za Kijerumani nchini Tanzania
A1–B1

Deutsche Sprache Tansania © Samuel Derky

​#bakinyumbani

Endelea kujifunza Kijerumani – mtandaoni. Katika kulinda afya yako, kwa sasa tunatoa kozi zote za lugha ya Kijerumani katika mfumo wa kupitia mtandaoni.

Masomo yetu mtandaoni

Kozi za Kijerumani

Hizi ni kozi za jumla za lugha hatua A1 – B1 kwa watu wazima. Msingi wa malengo na masomo katika kozi hizi unatokana na Mfumo wa Pamoja wa Ulaya wa Marejeo ya Lugha (CEFR).

Kozi Maalumu

Kozi zenye masomo maalumu kwa ajili ya makundi fulani ya watu  au kuendeleza stadi mahsusi

Kozi za maandalizi ya mitihani

Kozi hizi huwaandaa wanafunzi kipekee kwa ajili ya mitihani inayotolewa na Goethe-Institut na kuwazoesha na mfumo wa mitihani hiyo

Taarifa

Tarehe na ada

Tarehe za kozi zote kwa Dar es salaam

Mawasiliano na Kujiandikisha

Je, umevutiwa na moja ya kozi zetu au unahitaji taarifa zaidi? Tupo hapa kukusaidia

Muundo wa kozi zetu

Je, unataka kujifunza Kijerumani na unaamini ni muhimu kufanya kozi inayoendana na mahitaji yako binafsi? Jifunze kupitia njia inayokufaa na ufikie lengo lako!