Kozi za Kijerumani
A1–B1

​#bakinyumbani

Endelea kujifunza Kijerumani – mtandaoni. Katika kulinda afya yako, kwa sasa tunatoa kozi zote za lugha ya Kijerumani katika mfumo wa kupitia mtandaoni.

Masomo yetu mtandaoni

Kozi za kina

Muda wa kozi: wiki 12
Kuanza:
Nyakati za darasa: mara 3 kwa wiki
Vipindi (Kipindi kimoja = dakika 45): Vipindi 150
Hatua zinazotolewa: A1.1, A1.2, A2.1, A2.2
Maendeleo: 0,5 hatua ya kozi
Idadi ya wanafunzi: haizidi 18

Kozi za kina

Muda wa kozi: wiki 12
Kuanza: mara 3 kwa mwaka
Nyakati za darasa: mara 5 kwa wiki (Vipindi 2.5 kwa siku)
Vipindi (Kipindi kimoja = dakika 45): Vipindi 150
Hatua zinazotolewa: A1 – A2
Maendeleo:  1 hatua ya kozi
Idadi ya wanafunzi: haizidi 18

Kozi kwa kina

Muda wa kozi: wiki 6
Kuanza: mara 8 kwa mwaka
Nyakati za darasa: mara 5 kwa wiki (Vipindi 5 kwa siku)
Vipindi (Kipindi kimoja = dakika 45): Vipindi 150
Hatua zinazotolewa: A1–C1
Maendeleo: 1 hatua ya kozi
Idadi ya wanafunzi: haizidi 18

Taarifa zaidi

Mawasiliano na Kujiandikisha

Je, umevutiwa na moja ya kozi zetu au unahitaji taarifa zaidi? Tupo hapa kukusaidia

Muundo wa kozi zetu

Je, unataka kujifunza Kijerumani na unaamini ni muhimu kufanya kozi inayoendana na mahitaji yako binafsi? Jifunze kupitia njia inayokufaa na ufikie lengo lako!

Maelezo ya jumla kwa hatua A1–C2

Msingi wa kozi zetu za Kijerumani unatokana na hatua zilizofafanuliwa kwenye Mfumo wa Pamoja wa Ulaya wa Marejeo ya Lugha (CEFR).