Kozi za watoto na vijana

Goethe-Institut Jugendkurs Foto: Goethe-Institut/Bernhard Ludewig

Jifunze kijerumani kwa furaha

Shiriki kupata uzoefu wa kuvutia na utumie lugha katika michezo ya kuigiza, pamoja na mahojiano na katika miradi. Masomo yanafaa kwa kundirika la watoto na vijana kwa namna mbalimbali.

Termine und Preise

Kozi hizi zimewalenga wanafunzi wenye umri mdogo wa kati ya miaka 12 hadi 15. Wanafunzi wenye uzoefu wa awali pamoja na wale wanaoanza kujifunza lugha wote wanaweza kujiandikisha. Njia mseto za maingiliano pamoja na nyenzo vimejikita kwenye maslahi na mambo wanayopenda wanafunzi vijana.
 

Maelezo ya Kozi
Muda wa kozi Wiki 12
Kuanza Hufanyika mara 3 kwa mwaka
Mwendo wa masomo Muhula 1 kwa wiki (Vipindi 2 kwa siku)
Idadi ya vipindi
Kipindi 1 = dakika 45
Vipindi 24
Hatua inayotolewa A1
Kupiga hatua Hatua 1
Washiriki wa kozi Idadi ya juu ni 12 tu
Tarehe na ada

Taarifa zaidi

Mawasiliano na Kujiandikisha

Je, umevutiwa na moja ya kozi zetu au unahitaji taarifa zaidi? Tupo hapa kukusaidia

Maelezo ya jumla kwa hatua A1–C2

Msingi wa kozi zetu za Kijerumani unatokana na hatua zilizofafanuliwa kwenye Mfumo wa Pamoja wa Ulaya wa Marejeo ya Lugha (CEFR).