Kozi za maandalizi ya mitihani

Goethe Spracharbeit Foto: Goethe-Institut/Sonja Tobias

Cheti cha Goethe

Kozi hizi zitakutayarisha kipekee kwa ajili ya vyeti vya Goethe vinavyotambulika kimataifa. Majaribio yatakusaidia kujizoesha na seksheni mbalimbali za mitihani ya kuandika na kuongea, na utafundishwa mbinu mahsusi za kujibu mtihani.

Tarehe na ada

Kozi za maandalizi ya mtihani hutolewa mchana walau wiki mbili kabla ya mtihani kwa watahiniwa wa ndani na wageni. Kozi hii hutoa matini ya kufanyia majaribio ikiwa ni pamoja na mfano wa mitihani kwa kila hatua. Watahiniwa huweza kujenga ari na kujiamini kupitia taratibu za kufanya mitihani na majaribio kulingana na mahitaji yao mahsusi.  

Taarifa zaidi

Mawasiliano na Kujiandikisha

Je, umevutiwa na moja ya kozi zetu au unahitaji taarifa zaidi? Tupo hapa kukusaidia

Maelezo ya jumla kwa hatua A1–C2

Msingi wa kozi zetu za Kijerumani unatokana na hatua zilizofafanuliwa kwenye Mfumo wa Pamoja wa Ulaya wa Marejeo ya Lugha (CEFR).