Mtafutaji wa kozi Tarehe na ada

​#bakinyumbani

Endelea kujifunza Kijerumani – mtandaoni. Katika kulinda afya yako, kwa sasa tunatoa kozi zote za lugha ya Kijerumani katika mfumo wa kupitia mtandaoni.

Masomo yetu mtandaoni

Tamko

Tafadhali zingatia:

  • Nafasi za washiriki ni chache, hivyo unaombwa ujisajili mapema iwezekanavyo.
  • Kwa watakaojisajili kwa kuchelewa nafasi zao zitahamishiwa kwa madarasa ya kozi zinazofuata.Kozi Ngazi Tarehe Eneo la kozi Bei