Dhana na Matini

Konzepte und Materialien Foto: Goethe-Institut/Sonja Tobias

Kijerumani kwa ajili ya kazi au masomo

Matini ya kujifunza na kufundishia katika fani ya biashara, utalii, teknolojia, afya na maendeleo ya jamii 

Kijerumani kwa watoto

Kozi ya GFL kwa watoto wenye miaka 4 hadi 10 na wote wanaopenda kuwasaidia watoto kwenye kozi yao ya GFL kwa njia ya kuvutia inayoendana na mbinu na maarifa ya kisasa

Kijerumani kwa vijana

Vijana wnayo njia yao ya kipekee ya kujifunza inayotofautiana kwa namna nyingi na njia wanayotumia watu wazima au watoto kujifunza.