Je, unawatafuta watoa kozi shirikishi, ofisi ya uhamiaji au huduma ya ushauri kuhusu uhamiaji katika mji wako nchini Ujerumani? Utapata anuani katika kifungu hiki. Ingiza msimbo wa posta mji wa Ujerumani unaoishi au sogea chini yake na ubonyeze . Kisha utawaona watoa kozi za ushirikiano wote, ofisi za uhamiaji na huduma za ushauri wa uhamiaji katika mji wako. Je, hujui msimbo wa posta? Basi unaweza kuandika jina la mji wako.

Je unawatafuta watoa kozi shirikishi pekee? Au ofisi za uhamiaji pekee?, Au Jugendmigrationsdienste pekee? (Huduma za ushauri kwa vijana JDM) Au Migrationserstberatungen pekee? (Ushauri wa uhamiaji kwa wahamiaji watu wazima. MBE.) Kisha chagua taasisi unayoitafuta chini yake.

Mtoa kozi shirikishi  
Ofisi ya uhamiaji  
Huduma ya ushauri kwa vijana  
Ushauri wa uhamiaji kwa wahamiaji watu wazima.