Je wewe ni mgeni nchini Ujerumani, unahutaji msaada au ungependa kuwafahamu wageni walio karibu nawe? Hapa utapata anuani zitakazokusaidia.
Bonyeza nukta katika ramani kuona mitandao na mipango ya kumsaidia mkimbizi iliyo karibu nawe.
Tunashukuru sana “Pro Asyl”  kwa kutupa ramani.
 


Karte vergrößern