Freizeit Foto: © colourbox.de
Kwa wahamiaji wenye viza

Ni shughuli zipi za burudani unazoweza kuzifanya? Vipo vingi sana vya kuchagua kuvifanya katika mji.
 

Utamaduni 

Sie mögen Kultur? In den meisten Städten gibt es Museen, Kinos, Theater und Konzertveranstaltungen. Immer mehr Kinos zeigen internationale Filme in der Originalversion (OV). In den Bibliotheken oder Stadtbüchereien können Sie kostenlos oder für wenig Geld Bücher lesen, Musik hören und Filme sehen. Sie können die Bücher, Filme und CDs auch ausleihen: Sie nehmen sie mit nach Hause und bringen sie später wieder zurück.

Volkshochschulen, Vereine und Clubs

Unapenda utamaduni? Katika miji mingi ya ujerumani na maeneo ya mijini kuna majumba ya makumbusho, sinema, kumbi na matukio mbalimbali ya tamasha. Sinema zinaongezeka sana kutazamwa katika matoleo asilia ya filamu za kimataifa. Unaweza kusoma vitabu, kusikiliza muziki, na kutazama filamu kwa malipo au pasipo kulipia. Unaweza pia kuazima vitabu, filamu na sidii, unakwenda nazo nyumbani kisha utayarudisha baadae:

Volkshochschule

Vitu vya asili na mbuga za wanyama 

Unafurahia kutoka nje kwa matembezi? Kuna mbuga kila mji. Kuna viwanja vingi vya watoto. Kwa kawaida unaweza kutembelea bure kabisa. Unaweza kuona mimea ya kawaida na gadeni za mimea, unaweza kutembelea pia wanyama wanaopatikana dunia nzima kwenye bustani za wanyama. Kwa kawaida kuna chagizo kwa ajili ya gadeni za mimea na bustani za wanyama. Mikoa mingi pie ina maziwa, misitu na milima na huenda hata unaishi karibu na bahari.

Nyumbani

Nyumbani watu wengi hufurahia kutazama filamu na kusikiliza redio. Kila nyumba ujerumani inatakiwa kusajili redio na televisheni yake na GEZ na kulipia kila mwisho wa mwezi. Kwa sasa inagharimu EURO 17.98 kwa mwezi. Kama huna pesa ya kutosha, haulazimiki kulipia chocote.

Pengine nyumba yako ina yadi au roshani, siku zote huruhusiwi kufanya kitu chochote maeneo hayo. Kwa mfano siku zote huruhusiwi kuwa na makutano yoyote kwenye roshani. Pitia kanuni za nyumba kwa taarifa Zaidi juu ya mambo haya.

Unaweza pia kupata taarifa juu ya nafasi za burudani za mitaani katika mji wako au tovuti ya jamii.

Kwa waombaji wa hifadhi

Michezo 

Unaweza kufanya michezo popote pale ujerumani, kuna vilabu vingi vya michezo na vyumba vya mazoezi. Hata vijiji vidogo vina vilabu vinavyotoa michezo tofautitofauti. Michezo maarufu kama mpira wa miguu, mpira wa wavu, ngoma na nyiginezo. Kuhusu ada ya uanachama, unaruhusiwa kutoa mafunzo vilabuni.

Mpira wa miguu hasa ndio maarufu ujerumani, hata hivyo unaweza kucheza mpira wa miguu bila ya kujiunga na vilabu. Watu hukutana kwenye gadeni za nyumba au kwenye mbuga na kucheza mpira wa miguu. Ofisi za shirikisho za wahamiaji na wakimbizi (BAMF) zinatoa taarifa juu ya michezo na vilabu katika tovuti za

 

Shughuli Nyinginezo za burudani

Taasisi nyingi za umma zinatoa programu za burudani kwa vijana na watu wazima. Unafurahia kusoma? Kama ndivyo unaweza kutembelea maktaba za umma. Maktaba nyingi mara nyingi hutoa program maalumu kwa wakimbizi. Taarifa Zaidi juu ya burudani nyinginezo zinaweweza kupatikana katika kituo cha ushauri wa wahamiaji. Vilabu vya michezo na taasisi za upendo za jirani yako.

Ni mgeni Ujerumani.nawezaje kujua watu waliopo kwenye eneo ninaloishi?

Wapi naweza kufanya mawasiliano na watu wa nchini kwangu?

Wapi lilipo bwawa la kuogelea katika mji/jiji ninapoishi?

Ningependa kwenda kwenye tamasha. Tamasha gani lipo kwenye siku zijazo katika mji/jiji ninapoishi?

Gazeti gani linapatikana katika jiji langu?

Sina uelewa wa masuala ya mtandaoni au tanakilishi. Nani anaweza kunisaidia?

Further questions? Write us via the contact form. We will forward your questions anonymously to the advisors of the youth migration services.

Contact form