Mlezi wa watoto mchana unaweza kumpata kupitia Mamlaka ya ustawi wa watoto katika jiji lako. Kwa masaa machache kwa juma, wakati mwingine kuna pia “nyanyaa au babuu wa mkopo” – yaani, wazee wanaopenda kuwa na watoto. Uliza haya katika Mamlaka ya ustawi wa watoto.