Je, unawatafuta watoa kozi shirikishi, ofisi ya uhamiaji au huduma ya ushauri kuhusu uhamiaji katika mji wako nchini Ujerumani? 

Hivi ndivyo utakavyopata anuani:

  1. Bofya ⛶ kwenye sehemu ya juu kulia ya utepe wa ramani. Kisha utaona ramani kubwa kwenye kichupo kipya.
  2. Bonyeza kwenye alama ya lenzi au kioo cha kukuza.
  3. Andika jina la jiji lako au anuani ya posta na ubonyeze ENTER. Kisha utaona anwani zote muhimu katika sehemu mpya ya ramani iliyokuzwa. Upande wa kushoto wa ramani, unaweza pia kubofya „Alle ... Ergebnisse anzeigen“ kutazama matokeo yote na uchague shirika.
Ushauri wa uhamiaji kwa wahamiaji watu wazima (MBE)
Huduma ya ushauri kwa vijana (JMD)
Ofisi ya uhamiaji
Mtoa kozi shirikishi
Welcome Center