Tunapalilia programu za kitamaduni baina ya nchi mbili za Ujerumani na Tanzania. We initiate mfululizo wa filamu, maeonesho, matamasha, semina na burudani, daima lengo likiwa ni kuchochea uzalishaji wa kazi za kisanii, utambulisho na tathmini yenye kuhusisha washiriki kutoka nchi zote mbili.
Kwa kumbukumbu ya Henrike Grohs, Goethe-Institut na familia ya Grohs walipata tuzo ya € 20.000 iliyotolewa kwa wasanii wanaoishi na kufanya mazoezi barani Afrika.