Kozi Maalumu

Goethe-Institut Deutsche Sprache Foto: Getty Images/Juice Images

Zilizolengwa na mada maalum

Tunatoa kozi zenye wigo mpana na maudhui mbalimbali. Je, unatafuta kozi kwa ajili ya makampuni au unataka kujifunza kijerumani kwenye kikundi kidogo?

Kozi zinaweza kuandaliwa kwa ombi la mafunzo kutolewa kwa vikundi vidogovidogo, katika moja ya taasisi zetu au katika eneo lako

Mafunzo binafsi

Utaratibu wa masomo binafsi ya kina katika kujifunza Kijerumani. Lipia vipindi vya Kijerumani vinavyokidhi malengo na mahitaji yako kupitia njia iliyo rahisi kwako.

Ada:
TZS 25,000 kwa kipindi
 

Jifunze pamoja na rafiki

Changia gharama za mafunzo binafsi pamoja na marafiki hadi watatu. Muda na eneo la darasa vitapangwa kulingana na mahitaji na uwezo wenu

Ada:
Wanafunzi 2  TZS 30,000 kwa kipindi
Wanafunzi 4 TZS 40,000 kwa kipindi


Endapo una maswali, tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya kozi za lugha.
Kozi zinaweza kuandaliwa ili kukidhi mahitaji mahsusi ya kampuni, katika moja ya taasisi zetu au katika eneo lako.

Endapo una maswali, tafadhali wasiliana na ofisi yetu ya kozi za lugha.