Deutsch für Kulturberufe
Kijerumani kwa taaluma za kitamaduni

Ein Orchester spielt Goethe-Institut/Bernhard Ludewig

Mazoezi haya yanakusaidia kufanya mazoezi ya msamiati unaohusiana na sekta ya huduma. Unataja vitu na shughuli na kuelezea siku za kazi za kawaida. Unapata mwanga kuhusu mazungumzo rahisi na wafanyakazi wenzako na wateja na unakutana na watu waliokuja Ujerumani kutoka nchi zingine kufanya kazi hapa.

Mazoezi kwa taaluma za kitamaduni

  • A1 | 7 Übungen

    Gegenstände am Arbeitsplatz: Im Theater

    Unajifunza majina ya vitu muhimu katika eneo la kazi la ukumbi wa maonyesho. Pia unamfahamu Sara kutoka Uswidi, anayefanya kazi kama mwanamuziki nchini Ujerumani.

  • A2 | 6 Übungen

    Tätigkeiten in Kulturberufen

    Katika mazoezi haya unajifunza shughuli mbalimbali katika sekta ya utamaduni na kufanya mazoezi ya msamiati. Sikiliza mahojiano na uboreshe uelewa wako wa kusikiliza.

  • B1 | 4 Übungen

    Arbeiten in Deutschland: Miguel

    Miguel anatoka Venezuela na amekuwa akiishi Ujerumani kwa muda sasa. Katika mahojiano, anaelezea kuhusu kazi na maisha yake nchini Ujerumani.

  • B1 | 7 Übungen

    Wie werde ich...?

    Utajifunza zaidi kuhusu mafunzo ya mfumo mseto na ya shule nchini Ujerumani na kufanya mazoezi ya msamiati wa mada hiyo. Pia utakutana na Julia, anayezungumza kuhusu mafunzo yake ya upigaji picha.

Tufuatilie