Deutsch im Büro (Kijerumani kazini / ofisini)

Eine Frau an ihrem Arbeitsplatz. Sie spricht mit einer weiteren Person über eine grafische Abbildung.  Goethe-Institut/Bernhard Ludewig

Mazoezi haya yanakusaidia kufanya mazoezi ya msamiati unaohusiana na mahali pa kazi ofisini. Unataja vitu na shughuli na kuelezea siku za kazi za kawaida. Unapata mwanga kuhusu mazungumzo rahisi na wafanyakazi wenzako na wateja na unawafahamu watu waliofika Ujerumani kutoka nchi nyingine kufanya kazi hapa.

Übungen Büro und Verwaltung (mazoezi ya ofisi na utawala)

  • A1 | 6 Übungen

    Gegenstände am Arbeitsplatz: Büro

    Unafanya mazoezi ya majina ya vitu muhimu katika sehemu ya kazi ya ofisini. Pia unamfahamu Bia kutoka Afrika Magharibi, ambaye anafanya mafunzo nchini Ujerumani.

  • A2 | 6 Übungen

    Tätigkeiten im Büro

    Katika mazoezi haya, unajifunza shughuli mbalimbali ofisini na kufanya mazoezi ya msamiati. Sikiliza simu kutoka kwa wapigaji tofauti.

  • B1 | 5 Übungen

    Arbeiten in Deutschland: Anna

    Anna anatoka Urusi na amekuwa akiishi Ujerumani kwa muda. Katika mahojiano, anasimulia kuhusu kazi yake na maisha yake nchini Ujerumani. Fanya mazoezi ya kusikiliza na msamiati wako.

  • B1 | 7 Übungen

    Wie werde ich...?

    Unajifunza zaidi kuhusu mafunzo ya mfumo-mseto nchini Ujerumani na kufanya mazoezi ya msamiati wa mada hiyo. Mfahamu Laura, anayesimulia kuhusu mafunzo yake kama afisa huduma za rasilimali watu.

Tufuatilie