Kozi za kawaida na za haraka

Junge Leute lachen und klatschen sich ab. Sie halten Schnellhefter, Tablets und Handys in der Hand.
  • mazingira halisi ya maisha
  • mara 4 hadi 5 kwa wiki
  • shiriki katika kikundi

Jifunze Kijerumani kwa  weledi:  Goethe-Institut inatoa kozi kwa viwango na umakini. Mara baada ya mtihani wa kujipima,  utaanza kozi katika  ngazi ya umahiri iliyo sahihi kwako . Endapo  huna maarifa yoyote ya awali ya lugha ya  Kijerumani, utajiandikisha moja kwa moja katika ngazi A1.1

Kozi Zetu

Kozi kwa kina

  • wiki 5
  • mara 5 kwa wiki
  • vipindi 125 vya mafunzo

Kozi za kina

  • wiki 10
  • mara 4 kwa wiki
  • vipindi 120 vya mafunzo
  • kozi itarejea hivi punde

Maswali? Tupo hapa kusaidia: