Kozi za maandalizi ya mitihani

Jiandae kwa mtihani wako bila ya kutilia sana maanani muhtasari wa mtihani 

Wasiliana nasi
Illustration:  Dynamische junge Leute laufen auf ein gemeinsames Ziel zu.
  • jiandae kwa mitihani inayotambuliwa kimataifa
  • jipime kwa maswali halisi ya mtihani
  • mrejesho kwa mtu mmoja-mmoja

JIWEKE TAYARI KWA MAFANIKIO

Kozi zetu za maandalizi ya mtihani zimejikita kukuandaa  kwa ajili ya kupata  vyeti vya Goehte-Institut na TestDAF vinavyotambuliwa kimataifa. Utajifunza sehemu na  miundo tofauti ya  mtihani kupitia sentensi za mfano, mitihani ya majaribio na maigizo ya vitendo. 

  • Ngazi
    A1 – C1

  • Inaanza
    Katika kipindi cha wiki ya mtihani

  • Mda
    siku 4

  • Masaa ya kufundisha ndani ya wiki
    20 (vipindi 5 vya mafunzo kwa siku)

  • Washiriki
    idadi ya juu 18

  • Bei
    TSH 120,000


Maswali? Tupo hapa kusaidia: