Wafanyakazi
Unaweza kuwasiliana na wafanyakazi wa Goethe-Institut Tanzania moja kwa moja. Bofya kitufe chenye jina la idara ili upate mfanyakazi wa kujibu vizuri swali lako. Tutafurahi kukuhudumia.
Mawasiliano
Goethe-Institut Tanzania
Barabara ya Alykhan Na. 63
tunatazamana na Msikiti wa Jamatkhana, Upanga
Dar es Salaam
language-daressalaam@goethe.de