Tamko

MTOAJI

Goethe-Institut e. V.
Oskar-von-Miller-Ring 18
80333 Munich
Telephone: +49 89 15921-0
info@goethe.de
www.goethe.de

USAJILI WA SHIRIKA

Mahakama ya Wilaya ya Munich, Usajili wa Shirika 5007

NAMBA YA MLIPA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI

DE 129516430

MWAKILISHI

Bodi ya Utendaji: Johannes Ebert, Rainer Pollack

MHUSIKA KULINGANA NA MAKUBALIANO YA UTANGAZAJI BAINA YA MAJIMBO § 55 (RUNDFUNKSTAATSVERTRAG, RSTV)

Jakob Racek
Abteilungsleitung Information
Goethe-Institut e. V.
Oskar-von-Miller-Ring 18
80333 München

Makala zinazotolewa kwa jina si lazima kuwa zinawakilisha maoni ya wahariri.

TAMKO LA KISHERIA JUU YA MUUNDO WA SHIRIKA

Goethe-Institut e. V. ni shirika linalofanya kazi zake duniani kwa malengo ya kukuza lugha ya Kijerumani nchi za nje, kudumisha ushirikiano wa kimataifa katika nyanja za utamaduni, na kutoa taswira pana ya Ujerumani ikiwa ni pamoja na utamaduni wake, shughuli za kijamii na kisiasa.

Shirika hufanya kazi kwa utaratibu uliowekwa na Kanuni na Miongozo yake na ambayo msingi wake ni makubaliano yaliyofikiwa baina yake na Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani.

Tamko hili ya kisheria pia linahusu uwepo mkamilifu wa Goethe-Institut kwenye mitandao ya kijamii mahsusi kwa nchi au Taasisi, kwa mfano, kurasa zetu za Facebook, akaunti zetu za Twitter na chaneli zetu za Youtube.

USULUHISHI WA MIZOZO

Tume ya Ulaya imetoa jukwaa kwa ajili ya usuluhishi wa mizozo kwa njia ya mtandao (ODR) ambalo linaweza kufikiwa kupitia anuani http://ec.europa.eu/consumers/odr/. Watumiaji wa huduma wanaweza kutumia jukwaa hili kusuluhisha mizozo yao. Tupo tayari kushiriki katika taratibu za kisheria za utatuzi wa mizozo kwenye ya bodi ya usuluhishi wa mizozo ya watumiaji wa huduma. Bodi hii yenye uwezo wa kisheria inaitwa Universalschlichtungsstelle des Bundes am Zentrum für Schlichtung e.V., Straßburger Straße 8, 77694 Kehl am Rhein, Deutschland, www.universalschlichtungsstelle.de.