Tarehe na Kujiandikisha
Je, unahitaji cheti au diploma kwa ajili ya kazi, masomo au viza? Ungependa kujua hatua yako ya ujuzi wa Kijerumani?
Kuna mitihani lukuki ya uhodari wa lugha inayotambulika kimataifa kupitia taasisi yetu.
Maelezo juu ya mitihani ya Goethe-Institut na hatua za kozi vinaweza kukufahamisha mtihani gani umeandaliwa kwa kila hatua
Wiki ya maandalizi ya mtihani itakuwepo tu endapo namba ya wanafunzi itatimia.
Unaweza kujiandikisha kwa kufika mwenyewe, kwa simu au baruapepe
*Tunahimiza watahiniwa wote wa kigeni kufanya mtihani huu wa kujipima, wiki moja kabla ya mtihani. Hii itatusaidia kujua uwezo wako wa kilugha na kuweza kukushauri kuhusu mtihani gani wa kufanya.*
Kuna mitihani lukuki ya uhodari wa lugha inayotambulika kimataifa kupitia taasisi yetu.
Maelezo juu ya mitihani ya Goethe-Institut na hatua za kozi vinaweza kukufahamisha mtihani gani umeandaliwa kwa kila hatua
Tarehe za mitihani (A1, A2)
| TAREHE ZA MITIHANI 2026 | TAREHE ZA KUJISAJILI |
| 30 Jul & 31 Jul | 06 Jul - 10 Jul |
| 17 Sep & 18 Sep | 24 Ago - 28 Ago |
| 05 Nov & 06 Nov | 12 Okt - 16 Okt |
| 21 Des & 22 Des | 30 Nov - 04 Des |
TAREHE ZA MITIHANI (B1, B2)
| TAREHE 2026 | TAREHE ZA KUJISAJILI |
| 06 Ago & 07 Ago (Dar es Salaam) | 13 Jul - 17 Jul |
| 24 Sep & 25 Sep (Arusha) | 31 Ago - 04 Sep |
| 12 Okt & 13 Okt (Dar es Salaam) | 21 Sep - 25 Sep |
| 12 Nov & 13 Nov (Dar es Salaam) | 19 Okt - 23 Okt |
| 17 Des & 18 Des (Dar es Salaam) | 23 Nov - 27 Nov |
Gharama
| Mitihani | Wanafunzi wa goethe | Wanafunzi wa nje |
| A1 | 450,000 TSHS | 550,000 TSHS |
| A2 | 400,000 TSHS | 450,000 TSHS |
| B1 | 450,000 TSHS | 550,000 TSHS |
| B2 | 450,000 TSHS | 550,000 TSHS |
| C1 | 450,000 TSHS | 550,000 TSHS |
| Maandalizi ya Mtihani | 130,000 TSHS | 160,000 TSHS |
| MODULI | Wanafunzi wa ndani (goethe) | Wanafunzi wa nje |
| Moduli 1 ya B1/B2/C1 | 200,000 TSHS | 250,000 TSHS |
| Moduli 2 za B1/B2/C1 | 300,000 TSHS | 400,000 TSHS |
| Moduli 3 za B1/B2/C1 | 400,000 TSHS | 500,000 TSHS |
| WIKI YA MAANDALIZI YA MITIHANI |
| MTIHANI WA KUJIPIMA | GHARAMA |
| Kwa ngazi zote | 50,000 TSHS |
*Tunahimiza watahiniwa wote wa kigeni kufanya mtihani huu wa kujipima, wiki moja kabla ya mtihani. Hii itatusaidia kujua uwezo wako wa kilugha na kuweza kukushauri kuhusu mtihani gani wa kufanya.*