Tamasha la Bagamoyo

Ukiwa umejibari takriban kilomita 60 kaskazini mwa jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania, Bagamoyo umekuwa mji wenye mvuto usiochusha na wenye kutia shauku kwa wageni na wenyeji wa Tanzania sawia. Nini siri ya mvuto huu wa kipekee?

Jifunze Kijerumani

Uzoefu katika ufundishaji ni uhakika wa mafanikio yako

Mwalimu wa Kijerumani Goethe-Institut

Jifunze Kijerumani kutoka kwa mfundishaji anayeongoza katika soko. Tunatoa kozi na mitihani ya lugha ya Kijerumani katika zaidi ya nchi 90.
 

  • Walimu wa Kijerumani wenye sifa maridhawa na vifaa vya kujifunzia vyenye ubora wa hali ya juu
  • Kozi za Kijerumani kwa ngazi zote
  • Vyeti vya mafunzo ya lugha vinavyotambulika kimataifa

Matukio

Kutana na Utamaduni Mubashara

Ufundishaji wa Kijerumani

Goethe-Institut ni taasisi inayoongoza duniani katika maendeleo ya kitaaluma kwa walimu wa Kijerumani. Tunakupatia zana za kisasa na huduma jumuishi.

Mwalimu wa Kijerumani Goethe-Institut e.V.

Dhamira na miradi

Dansi Tena
Mradi wa kucheza wa Dansi Tena

Ngoma za kisasa! Je hiyo ni nini? Miondoko ya kushangaza? Miondoko ya dhahania (ya kufikirika? Si ya kawaida? Ya ajabu? Uelewi? Usijali utaelewa. Kutana na watunzi wa dansi, katika kipindi kipya ambacho kitakuletea mtiririko wa maonesho ya filamu za dansi kupitia mtandao. Kipindi kinaitwa Dansi tena. Watakufanya upende na kuwa mshabiki mzuri wa dansi za kisasa.

Dansi Tena

Time to Dance

Mubashara
Tunasikika Mubashara

Jukwaa jipya limeanzishwa kwa ajili ya wasanii chipukizi kufanya uwasilishaji wa muziki unaorushwa mubashara kwa njia ya mtandao.
Kwa kushirikiana na Action Music Academy kutoka Mbezi Beach Dar es Salaam, Goethe-Institut hushirikiana na wanamuziki kufikisha muziki kwa wigo mpana wa hadhira inayofikiwa kwa njia ya mtandao nchini Tanzania na nje ya mipaka yake, kila baada ya kupita Jumapili moja.

Tunasikika

Goethe-Institut Tanzania

Wanawake katika filamu
Tanzanian women filmmakers moving on

HAKUNA shaka, filamu ni sehemu ya dunia ya Sanaa, ikiwa njia inayotumia ubunifu katika kuiwasilisha sanaa hiyo. Ingawa Tanzania haina tasnia iliyojizatiti, kama ilivyo Hollywood, Bollywood au hata Nollywood; bado ni sehemu ya dunia hiyo. Licha ya kuwa katika hatua ya awali ya maendeleo kuliko magwiji hawa, lakini bado ingalipo. Ipo, japokuwa kwa kiasi kikubwa ni ulingo ambapo wengi miongoni mwa watendaji wake ni watu waliojiajiri wenyewe.

Esther Mndeme

© Ochu Kiota

Tutembelee Goethe-Institut Tanzania

Anwani

Alykhan Road No. 63, Upanga
P.O. Box 9541 Daressalam
Tansania

Mawasiliano

Simu

+255 22 213 4800

Barua pepe

info-daressalaam@goethe.de

Muda wa Kazi

J1-Ij: 2:30asb–7:30mch, 8:30mch–17:00jio
J3-Al: 4asb–7mch, 8mch–11jio
Ij: 4asb–7mch
Goethe-Institut Tanzania Goethe-Institut Tanzania

Tufuatilie