Mitihani ya Kijerumani

Goethe-Zertifikat B1

Goethe-Zertifikat B2

Goethe-Zertifikat C1

Goethe-Zertifikat C2

Goethe-Test PRO

Maelezo zaidi

Mazoezi yaliyopo

Tunatoa matini ya kufanyia majaribio ikiwa ni pamoja na mfano wa mitihani kwa mitihani yetu yote ya Kijerumani. Hizi zinapatikana katika mifumo yote na kwa hiyo huwafaa pia watu wenye ulemavu.

Viwango bora

Zaidi ya wateja 230,000 wenye kuridhika kila mwaka kutokana na vyeti kutoka Goethe-Institut kukubaliwa duniani kote kama ushahidi halali wa mtu binafsi wa stadi za lugha

Pima Kijerumani chako

Pima kama Kijerumani chako kiko „gut“: Je, ndio unaanza, uko vizuri au uko vizuri sana?Mtihani huu utakupa kiashiria chako cha kwanza

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tutakujulisha hapa juu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu mitihani ya Goethe-Institut