Mawasiliano na saa za kazi

Saa za kazi (mapokezi): 
Jumatatu - Ijumaa:
02.30 as. - 11.00 jn. 

Muda wa kazi ofisi ya kozi za lugha:
Jumatatu - Alhamisi: 
03.00 as. - 07.00 mch.
08.00 mch. - 11.00 jn. 
Ofisi ya lugha haifunguliwi Ijumaa.

2022 siku za sikukuu:
01.01. - Mwaka Mpya(Uj,Tz)
15.04. - Ijumaa Kuu (Uj,Tz)
18.04. - Jumatatu ya Pasaka (Uj,Tz)
26.04. - Muungano (Tz)
*         - Idd-El-Fitr (Mwisho wa Ramadhan – Idd Mosi)  (Tz)
*         - Idd-El-Fitr (Mwisho wa Ramadhan – Idd Pili) (Tz)
01.05. - Siku ya Wafanyakazi (Uj,Tz)
01.08 - 26.08 - Likizo ya Kiangazi (GIDAR)
03.10. - Muungano wa Ujerumani(Uj)
14.10. – Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (Tz)
09.12. - Uhuru (Tz)
24.12. - Usiku wa Krismasi (Uj,Tz)
25.12. - 1. Krismasi (Uj,Tz)
26.12. - 2. Krismasi(Uj,Tz)

Uj = Sikukuu Ujerumani
Tz = Sikukuu Tanzania
* = inategemea kuandama kwa mwezi /huweza kuwa kwa tangazo la muda mfupi

Maelekezo