Upatikanaji wa haraka :

Nenda moja kwa moja kwenye maudhui (Alt 1) Nenda moja kwa moja kwenye ngazi ya kwanza ya urambazaji (Alt 2)

Katika malengo

Dansi Tena Photo: Jimmy Mathias © Goethe-Institut Tanzania

Dansi Tena

Ngoma za kisasa! Je hiyo ni nini? Miondoko ya kushangaza? Miondoko ya dhahania (ya kufikirika? Si ya kawaida? Ya ajabu? Uelewi? Usijali utaelewa.

Tunasikika © Goethe-Institut Tanzania

Tunasikika

Jukwaa jipya lililoundwa kwa wasanii wanaoibuka kuwasilisha muziki wao moja kwa moja mtandaoni.

Latitude - Rethinking Power Relations Photo (Detail): © Getty Images, Logo: Tobias Schrank

Latitude

Taasisi ya Goethe-Institution inawaalika wataalam na wabunifu ulimwenguni kubadilishana mawazo juu ya uhusiano wa nguvu ya wakoloni, matokeo yao na, zaidi ya yote, jinsi ya kuwasambaratisha: katika hotuba, mahojiano, nakala za maoni na miradi ya sanaa. Kwa ulimwengu usiotumikishwa na usio na ubaguzi.

Juu