Tarehe na Kujiandikisha

Goethe-Institut Termine und Anmeldung Foto: Goethe-Institut/Bettina Siegwart

Je, unahitaji cheti au diploma kwa ajili ya kazi, masomo au viza? Ungependa kujua hatua yako ya ujuzi wa Kijerumani?

Kuna mitihani lukuki ya uhodari wa lugha inayotambulika kimataifa kupitia taasisi yetu.

Maelezo juu ya mitihani ya Goethe-Institut na hatua za kozi vinaweza kukufahamisha mtihani gani umeandaliwa kwa kila hatua 
 

Tarehe za mitihani (A1, A2, B1, B2)

Ij 04.06.2021
Ij 23.07.2021
Ij 22.10.2021
Ij 10.12.2021

Gharama

Mitihani Wakaazi Wageni
A1 200,000 250,000
A2 190,000 250,000
B1 250,000 300,000
Moduli ya B1 100,000 120,000
B2 250,000 300,000
Moduli ya B2 100,000 120,000
Maandalizi ya Mtihani 100,000 120,000

Unaweza kujiandikisha kwa kufika mwenyewe, kwa simu au baruapepe