Deutsche Sprache Tansania
© Samuel Derky

Mbalimbali wetu

Goethe-Institut inaleta lugha ya Kijerumani ulimwenguni: tunatoa kozi na mitihani ya Kijerumani kwenye nchi zaidi ya 90. Unaweza kufanya mazoezi ya Kijerumani bila malipo kupitia majaribio mbalimbali ya mtandaoni na katika Jumuiya yetu. Fuatilia kuhusu fursa za maendeleo ya kitaaluma na makabrasha kwa waalimu wa Kijerumani (DaF/DaZ).

Kozi za Kijerumani A1–C2

Jifunze Kijerumani kutoka Goethe-Institut kozi ya Kijerumani – nchini Tanzania, nchini Ujerumani au mtandaoni.

Mitihani ya Kijerumani

Pata cheti cha uhodari wa lugha kwa kufanya mtihani wa Kijerumani kutoka Goethe-Institut

Kufundisha Kijerumani

Goethe-Institut inaongeza duniani katika kuwaendeleza kitaaluma walimu wa lugha ya Kijerumani. Tunakupatia programu iliyojitosheleza - nchini Tanzania, Ujerumani au kupitia kujifunza kwa masafa.

Mazoezi ya Kijerumani bila malipo

Unaweza kunufaika na fursa zetu mbalimbali mtandaoni zinazohusisha hatua zote kuanzia A1–C2.

Dhima yetu juu ya Kijerumani

Goethe-Institut ina dhima muhimu juu ya lugha ya Kijerumani duniani kote