Vifaa vya Mafunzo kwa Vitendo

Kurudi kwenda Goethe-Zertifikat A1: Start Deutsch 1

Unaweza kupata nyenzo za mafunzo kwa vitendo kwa eneo la kusikiliza, kusoma, kuandika na kuongea hapa kukusaidia kujiandaa na Mtihani wa Goethe-Zertifikat A1: Start Deutsch 1.

Nyenzo za majaribio mtandaoni

A1 Nyenzo za mafunzo kwa maandalizi ya mtihani

Nyenzo unazoweza kupakua

A1 Seti  ya mfano ya majaribio A1 Seti  ya mfano ya majaribio -- sikiliza sauti ya mfano ya moduli ya kusikiliza (17:08 min.)
A1 Seti  ya mfano ya majaribio -- tazama video ya mfano ya moduli ya kuongea (13:36 Min.) 
© Goethe-Institut

A1 Seti ya mazoezi ya vitendo 01 A1 Seti ya mazoezi ya vitendo 01 -- sikiliza sauti ya mfano ya moduli ya kusikiliza (18:59 min.)
A1 Seti ya mazoezi ya vitendo 02 A1 Seti ya mazoezi ya vitendo 02 -- sikiliza sauti ya mfano ya moduli ya kusikiliza (19:04 Min.)