Msingi

Du startest gerade mit einem Deutschkurs oder interessierst dich dafür? Dann findest du hier die passenden Übungen für dich in den Niveaustufen A1 bis A2. Du kannst zum Beispiel in einfachen Sätzen sagen, wie du heißt. Oder in einem Restaurant Essen bestellen oder jemanden nach dem Weg fragen. Die Übungen sind einfach und kostenlos. Und du lernst nebenbei auch viel über das Leben (und das Arbeiten) in Deutschland.
 

A Grafik elementare Sprachverwendung © Goethe-Institut

  • Taarifa na dondoo

    Mein Weg nach Deutschland

    Je, una mpango wa kuhamia Ujerumani? Kama ni hivyo, umekuja mahali sahihi. Pata taarifa muhimu kuhusu kuishi na kufanya kazi Ujerumani – kwa Kijerumani (ngazi A1 hadi B2) au kwa lugha utakayochagua – kupitia maandishi, video na ramani.

    Das Gesicht einer jungen dunkelhaarigen Frau ist vor dem Brandenburger Tor zu sehen im Sonnenlicht. © Alina Holtmann / Maridav © Alina Holtmann / Maridav

  • YouTube

    Jifunze Kijerumani na Ida

    Habari! Mimi ni Ida, mwalimu wako wa Kijerumani kupitia YouTube. Nitakusaidia kujifunza sarufi na maneno mapya, pamoja na  kukupatia dondoo za kuishi Ujerumani. Ni rahisi sana kuelewa video zangu endapo tayari unaweza kuongea Kijerumani kidogo (ni nzuri zaidi kwa ngazi A2 hadi B1) na hakuna malipo yoyote.

    Ida aus 24h Deutsch mit einem Mikrofon in der Hand Foto: © Goethe-Institut Foto: © Goethe-Institut

  • Mitandao ya kijamii

    Jifunze Kijerumani kwenye mtandao wa TikTok na Instagram

    Karibu kwenye jumuiya yetu! Alex kutoka Berlin na wageni kutoka duniani kote  wanakusubiri kwenye chaneli zetu za TikTok na Instagram. Jifunze mambo yote kuhusu lugha ya Kijerumani, jipatie ufahamu wa maisha ya kila siku Ujerumani na katika nchi nyingine pamoja na kushirikisha uzoefu wako kwa wengine.

    Learn German on TikTok and Instagram © Goethe-Institut © Goethe-Institut

  • App ya kujifunzia

    Ifahamu Ujerumani

    Kwa Kijerumani au lugha utakayochagua: App hii isiyo ya kulipia itakufundisha mambo yote kuhusu Ujerumani – hali halisi ya kuishi hapa na kuhusu historia ya nchi hii. Utapata idadi ya kutosha ya mazoezi shirikishi, mtihani wa majaribio na video za kukusaidia kufanya mazoezi ya Kijerumani kwa urahisi na bila malipo – nyumbani au njiani.

    Deutschland.Kennen.Lernen Grafik: © Goethe-Institut Grafik: © Goethe-Institut

  • Jumuiya yako ya mtandaoni bila malipo

    Deutsch für dich

    Kujifunza huwa bora zaidi kwa pamoja: Katika jumuiya yetu ya mtandaoni, utakutana na zaidi ya majaribio 260 ya Kijerumani kwa ngazi zote, bila malipo – pamoja na watu wengine wa kufanya nao mazoezi. Kutana na watu kwa mara ya kwanza, linganisha maelezo uliyoandika na kuboresha stadi zako za lugha kwa pamoja.

    7 junge Menschen stehen nebeneinander und schauen gemeinsame auf Smartphones oder Tablets © Shutterstock.com, Rawpixel.com © Shutterstock.com, Rawpixel.com

  • Mitandao ya kijamii

    Jifunze Kijerumani kwenye mtandao wa Facebook

    Je, ungependa kukutana na watu kutoka duniani kote wanaojifunza pia Kijerumani? Tembelea ukurasa wetu wa Facebook! Katika jumuiya yetu kupitia Facebook,  mtafahamiana, utafahamu kuhusu madarasa yetu, kujipatia ufahamu wa maisha ya kila siku Ujerumani, na kuweza kufanya mazoezi ya stadi zake za lugha ya Kijerumani chako, bila malipo. 

    Facebook Foto: © Goethe-Institut, Sonja Tobias Foto: © Goethe-Institut, Sonja Tobias

  • App ya kujifunzia

    Mkufunzi wa Kijerumani A1

    Ninawezaje kuhesabu au kutaja muda kwa Kijerumani? Chakula hiki kinaitwaje? Ninasemaje tafadhali na asante? Hii app kwa ngazi A1 ni njia muhimu sana ya kuanza kujifunza Kijerumani bila malipo. Mkazo zaidi umewekwa katika kusikiliza, kusoma, kuandika na kujifunza maneno muhimu ya kuanzia.

    Deutschtrainer A1 Grafik: © Goethe-Institut Grafik: © Goethe-Institut

  • Jukwaa la watoto

    Chuo Kikuu Cha Kidijitali Cha Watoto

    Ni kwa namna gani magari yanayojiendesha yenyewe hujiongoza? Kwanini ganda la konokono hutoa sauti nikilishika karibu na sikio langu? Kwanini ninahitaji kulala? Dunia imejaa maswali. Na tuna majibu – yaliyofafanuliwa wazi na bila malipo. Professor Einstein na Sophie Schlau wanatazamia kukutana na wewe!

    KinderUni Foto: © Goethe-Institut Foto: © Goethe-Institut

  • Chuo Kikuu Cha Kidijitali Cha Vijana Wadogo

    Jukwaa la vijana

    Kuna mwonekano gani anga za mbali? Umeme unatoka wapi? Na roboti hufanyaje kazi? Kama mwanafunzi katika  chuo kikuu chetu cha kidijitali cha vijana wadogo, utajifunza majibu ya maswali haya na maswali mengine, na papo hapo kuboresha Kijerumani chako , bila malipo. Chuo kikuu cha awali kinafaa zaidi kwa ngazi A1/A2 na A2/B1. 

    JuniorUni Foto: © Goethe-Institut Foto: © Goethe-Institut

  • App ya mchezo

    Jiji la maneno

    Endapo tayari unaweza kuongea Kijerumani kidogo na unapenda kujifunza maneno mapya kwa njia inayovutia zaidi, pakua app hii ya mchezo bila malipo! Inafaa zaidi kwa ngazi A1/A2. Utajifunza msamiati mpya kwa kiasi kikubwa na kuweza kulinganisha maelezo uliyoandika na yale ya wachezaji wengine.

     © Goethe-Institut © Goethe-Institut

  • Online-Spiel: Entdecke deine Superkräfte!

    Der Superheld*innen-Campus

    In diesem Online-Spiel bekommst du Superkräfte! Mit deinem Avatar lernst du spielend leicht neue Wörter und Sätze für deinen Beruf. Schaffst du es, die Stadt am Ende vor dem bösen Skorpion zu beschützen? 

    Screenshot aus dem Spiel Superhelden Campus Grafik: © Goethe-Institut Grafik: © Goethe-Institut

  • Videos: Alltag in Deutschland

    Deutschlandlabor

    Bier, Wurst, Kälte. Na, denkst du da an Deutschland? In dieser Video-Reihe sind Nina und David Klischees auf der Spur. Welche stimmen? Welche nicht? Deutschland ist auf jeden Fall überraschend! Schau mal rein – die Videos verstehst du gut ab dem Niveau A2. 

    Nina und David vom Deutschlandlabor Grafik: © Goethe-Institut | DW Grafik: © Goethe-Institut | DW

Tufuatilie