Vifaa vya Mafunzo kwa Vitendo

Kurudi kwenda Goethe-Zertifikat A2: Fit in Deutsch

Mtihani wa Goethe-Zertifikat A2: Fit in Deutsch unajumuisha seksheni za kusoma, kusikiliza, kuandika na kuongea.

Nyenzo za mafunzo kwa vitendo kwa njia ya mtandao

A2 Nyenzo za mafunzo kwa maandalizi ya mtihani

Nyenzo unazoweza kupakua

A2 Seti  ya mfano ya majaribio kwa vijana A2 Seti  ya mfano ya majaribio kwa vijana -- sikiliza sauti ya mfano ya moduli ya kusikiliza (dakika 23:03.)
A2 Seti  ya mfano ya majaribio kwa vijana -- tazama video ya mfano ya moduli ya kuongea (12:36 Min.) 
© Goethe-Institut


A2 Set of model exercises for young people A2 Set of model exercises for young people -- play the listening module sample audio (24:59 Min.)