Dhamira yetu juu ya Kijerumani

Unser Engagement für Deutsch Foto: Panthermedia/Viktor Thaut

Mradi wa "Schulen: Partner der Zukunft"

Shule za PASCH zenye uhusiano mahsusi na Ujerumani. Goethe-Institut inatoa ushauri kwa takribani shule 550 za PASCH katika mfumo wa elimu ya taifa kutoka zaidi ya nchi 100.

Alumniportal Deutschland

Alumniportal Deutschland ni mtandao wenye lengo la kuimarisha mahusiano baina ya watu waliowahi kusoma au kufanya kazi ujerumani, makampuni, vyuo vikuu na  mashirika.