Maendeleo ya kitaaluma
kwa walimu wa lugha ya Kijerumani

Iwe umevutiwa na utamaduni, mbinu na maarifa ya kufundishia, au kuboresha stadi zako za lugha - Goethe-Institut huandaa  kozi maalumu zenye kujitosheleza za maendeleo ya kitaaluma kwa walimu wa lugha ya Kijerumani.

Lehrer mit 9 Schülern © Colourbox.com

Maendeleo ya Kitaaluma nchini Tanzania

Goethe-Institut Tanzania huwapa walimu wa lugha ya Kijerumani fursa ya kuendelea na elimu yao

Fortbildung in Deutschland © Getty-Images, Sam Edwards

Maendeleo ya Kitaaluma nchini Ujerumani

Kozi za maendeleo ya kitaaluma nchini Ujerumani hukupa fursa ya kukuza stadi zako na uzoefu wa Ujerumani.

Lehrerfortbildung Online

Maendeleo ya kitaaluma kwa njia ya mtandao

Kozi za maendeleo ya kitaaluma kwa njia ya kujifunza kwa masafa - kwa njia hii unaweza kuamua mwenyewe lini na wapi ungependa kujifunzia.