Ushauri na huduma

Beratung und Service Foto: Goethe-Institut/Sonja Tobias

Huduma ya Ushauri husaidia walimu, shule na taasisi zinazojihusisha na ufundishaji wa Kijerumani.

Utapata hapa:

  • Maendeleo ya kitaaluma kwa walimu wa lugha ya Kijerumani, kuanzia matukio ya siku moja hadi semina zinazoweza kuchukua wiki kadhaa.
  • Mawazo na matini kwa ajili ya kitangaza Kijerumani
  • Maelezo juu ya matini ya kufundishia yaliyopo