Wito
Maono ya pekee: Sanaa kuitambua kwa vipengele mpya
Kituo cha Utamanduni cha Ujermumani (Goethe-Institut) inatoa nafasi kwa wadau wa sanaa hapa nchini kuwasilisha mapendekezo ya miradi ya sanaa.
Mapendekezo ya mradi tunaotarajia kupokea yawe na ubunifu wa hali wa juu na kuzingatia mawazo ya kufikirika zinazo husisha mifumo tofauti za ufahamu na utambuzi wa msanii ili kuwakilisha kazi yake inayochanganya mipaka kati ya sanaa, uelewea wa hadhira na mazingira halisi.
Sanaa inayotokana na utambuzi wa kina inauwezo mkubwa wa kuwafikisha walaji wa sanaa hiyo kwenywe mazingira ya kuvutia na kuchangia utambuzi wao pamoja kuhamishisha uelewa wa mtu binafsi na hisia ambatanishi.
Kwa wito huu kituo cha utamanduni cha Ujerumani tuna tarajia kushirikina na miradi ambazo zitatumia vyema teknolojia, matumizi ya nafasi ya ubunifu, maonyesho, na vipengele nyingine za kibunifu ili kuleta mapitio zenye kuhamsisha utambuzi, kuvuta hisia na kuruhusu majadiliano pamoja na ukaribu baina ya watu wa jamii yetu.
Tunategemea kupokea maelezo ya miradi zenye kuhusisha sifa kadhaa ikwa pamoja na:
Maonyesho ya sehemu maalumu: Kama onyesho inahusisha kubadilisha mazingira ya eneo ilikuruhusu mapitio ya hisia ya mtu kwa kuzingatia usanifu wa majengo, historia ya eneo kwa kuzingatia mchango wake kimila na desturi. Maonyesho hayo yaanweza kuhusisha ama kutumia teknohama, mandhari za sauti, viangazio, na mifumo ya kushiriki ili washiriki waweze kuwa ndani ya onyesho kwa ufahamu wao.
Mifumo ya ufahamu: mfano mwingine wa mradi ambao tungependa kusikia juu yake ni ili ainayo tumikisha ufahamu wa hadhira kama kusikia, kuona, harafuau ladha, katika kufanyikisha ushiriki wa hadhira na kupitiliza zaidi ya kujionea tu. Miradi inaweza kuchunguza hisia zinazojitokeza, ama mtazamo wa vitu kwa kugusa na kutambua kwa kumiliki hasa kwa kushiriki katika mawasiliano yasiyo ya maneno. Au, majaribio kwa kupitia kuhadithia habari kupitia hisia nyingi tofauti.
VR na AR: miradi yenye kutumia tekonolija ya VR na AR kufanyikisha mapitio zenye hisia juu ya simulizi yanayoonyeshwa. Kwenye eneo hii mradi unaweza ukachanganya ama kwa pamoja kutumia teknohama na magizo ya jukwaa ili kuwapatia hadhira njia mpya ya kupata na kupokea simulizi kutoka sanaa ya aina hiyo.
Maigizo: Hapa tuanangazia miradi zenye kutumia maagizo ya jukwaani, onyesho la muziki, ngoma za kucheza, au onyesho ya shirikishi. Manonyesho haya yanawakaibisha watazamaji kushiriki ili kufanyikisha ushirikiano wa kukamilisha onyesho kati ya makundi haya mawili.
Hadithi na simulizi: Tungependa pia kupokea mawazo ya mradi zinazo tumia simimulizi na hadithi zinazotumia mfumo wa utambuzi wa hisia.
Mfumo wa mradi unaweza kutumia ushiriki wa hadhira, teknohama, ama kuhadithia simulizi siziofuata wakati. Miradi ya aina hiyo inaweza kutumikisha tekonolojia, michaezo ya simu na ushikishi wa hadhira katika kuandaa kazi zenye kuvuta hisia na kutoa mapitio ya kipekee.
Tunahamisisha watakaotuma maombi wawe wabunifu sana, watazame pia njia nyingine ya kufikisha sanaa kwa watumiaji na kuzingatia usawa wa watu na uwazi wa kufikisha agenda za kisanii kwa hadhira.
Ofisi yetu itatoa kiasi cha hadi shilingi za kitanzania (TZS) milioni saba. Fedha itakayotolewa itaweza kutumika na mwombaji katika kulipa posho za wasanii ama washirki katika kutekelza mradi, gharama za uzalishaji au uandaji wa mradi au pamoja na gharama za promotion(kunadi) mradi kwa umma.
Kituo cha utamaduni cha Ujerumani (Goethe-Institut) pia itawapa walichaguliwa eneo la ukumbi bila gharama.
Pendekezo linapaswa kujumuisha yafuatayo:

Wasifu wa mwombaji:
- mwanasanaa anayeishi na kufanya kazi zake hapa nchini.
- Kama waombaji wanatoka katika ushirika inayofanya kazi zake Afrika, Afrika mashiriki au pia za kimataifa ili mradi mshirika moja awe mkazi na raia wa Tanzania wanaeweza kutuma maombi.
- Kama mradi una vyanzo vingine vya fedha ukiachana unayotolewa na Goethe-Institut mradi utapokelwa ikwa kiwango kilichokuwa kwenye bajeti ya mradi inaonyeshwa kwenye maombi.
Namna ya kuchagua na kupewa Fedha za mradi
Kila ombi na maelezo ya mradi utathaminsihwa kutumia yaliandikwa ama kutambuliswha ndani ya maombi kwa kuzangaita ubunifu na ubora. Ni vyeam kukumbuka maelezo yakionesha sifa zifuatazo itapewa uangalizi wa juu:- Ubunifu wa sanaa
- ubora wa maudhui na mtiriko wa vipengeleo ya maelezo ya mradi
- umuhimu na uhalisia wa maudhui na sanaa ya kisasa
- ufanisi wa kutekeleza mradi
JINSI YA KUOMBA
Tafadhali tuma pendekezo lako la mradi kwa mratibu wa utamaduni wa Goethe-Institut Tanzania, Bw. Daniel Sempeho. Barua pepe: Daniel.Sempeho@goethe.de.Pendekezo linapaswa kujumuisha yafuatayo:
- Sentensi mbili zinazofafanua lengo la mradi
- Ufafanuzi wa mradi, ikiwa ni pamoja na urefu wa mradi na mipango ya uwasilishaji wa umma - si zaidi ya maneno 500.
- CV za washiriki
- Mpango wa bajeti