Mafunzo & Elimu

Je, unataka kujifunza Kijerumani bila malipo na  na papo hapo kufanya mazoezi kwa ajili ya mtihani ujao wa majaribio? Kama ni hivyo, umekuja mahali sahihi! Tumetayarisha maswali ya maarifa ya jumla kuhusu Ujerumani na dunia yanayofaa kwa ngazi zote. Ni ukanda gani wa dunia ulio na pengwini wengi zaidi? Ni kazi gani mvumbuzi wa Kijerumani aitwaye Carl Benz alifanya nyakati hizi za majira ya joto? Pima ufahamu wako ili uwakonge rafiki zako kwa mambo unayoyajua!

Lächelnde Frau bei der Forschung © Goethe-Institut, Getty Images

  • Jukwaa la watoto

    Chuo Kikuu Cha Kidijitali Cha Watoto

    Ni kwa namna gani magari yanayojiendesha yenyewe hujiongoza? Kwanini ganda la konokono hutoa sauti nikilishika karibu na sikio langu? Kwanini ninahitaji kulala? Dunia imejaa maswali. Na tuna majibu – yaliyofafanuliwa wazi na bila malipo. Professor Einstein na Sophie Schlau wanatazamia kukutana na wewe!

    KinderUni Foto: © Goethe-Institut Foto: © Goethe-Institut

  • Chuo Kikuu Cha Kidijitali Cha Vijana Wadogo

    Jukwaa la vijana

    Kuna mwonekano gani anga za mbali? Umeme unatoka wapi? Na roboti hufanyaje kazi? Kama mwanafunzi katika  chuo kikuu chetu cha kidijitali cha vijana wadogo, utajifunza majibu ya maswali haya na maswali mengine, na papo hapo kuboresha Kijerumani chako , bila malipo. Chuo kikuu cha awali kinafaa zaidi kwa ngazi A1/A2 na A2/B1. 

    JuniorUni Foto: © Goethe-Institut Foto: © Goethe-Institut

  • Podcast "kurz & bündig"

    Über Politik, Wirtschaft und Gesellschaft

    In diesem Podcast geht es um Themen aus Politik, Wirtschaft und Gesellschaft aus Deutschland und der Welt. Zum Beispiel: Wie viel Europa steckt in Deutschland? Wie steht es um den Handel mit China? Die Hörtexte sind auf Deutsch und geeignet für das Niveau B2/C1.

    Smartphone auf dem der Podcast kurz & bündig läuft Foto: © Goethe-Institut, Europanetzwerk Deutsch Foto: © Goethe-Institut, Europanetzwerk Deutsch

  • Videos: Alltag in Deutschland

    Deutschlandlabor

    Bier, Wurst, Kälte. Na, denkst du da an Deutschland? In dieser Video-Reihe sind Nina und David Klischees auf der Spur. Welche stimmen? Welche nicht? Deutschland ist auf jeden Fall überraschend! Schau mal rein – die Videos verstehst du gut ab dem Niveau A2. 

    Nina und David vom Deutschlandlabor Grafik: © Goethe-Institut | DW Grafik: © Goethe-Institut | DW

  • Podcast „Superfrauen“

    Über Feminismus, Kultur und Gesellschaft

    In diesem Podcast geht es um Geschichten von Frauen aus aller Welt. Bei aller Diversität haben sie eines gemeinsam: Sie sind Vorbilder. Ihre Wege durch die Welt sind spannend, sportlich, schlau oder mutig. Die Hörtexte sind auf Deutsch und geeignet für das Niveau B2/C1.

    Superfrauen Podcast Grafik: © Goethe-Institut Grafik: © Goethe-Institut

Vidokezo kwa maudhui mtandaoni

Tumekusanya mfululizo mzuri wa filamu na tamthiliya za Kijerumani kwa ajili yako kuzifurahia, ambazo zinapatikana kwa sasa katika maktaba za vyombo vya utangazaji vya umma na kwenye huduma mbalimbali za maudhui ya mtandaoni nchini Ujerumani. Na bora zaidi, zinaweza kuonekana duniani kote bila malipo wala usajili.

Streamingtipps Seite © Goethe-Institut / Tobias Schrank © Goethe-Institut / Tobias Schrank

Tufuatilie