Maendeleo ya Kitaaluma nchini Ujerumani

Fortbildung in Deutschland Foto: Goethe-Institute in Deutschland

Ufadhili

Je, unapenda kushiriki semina ya maendeleo ya kitaaluma kutoka Goethe-Institut nchini Ujerumani?

Goethe-Institut hutoa

Semina za maendeleo ya kitaaluma

  • Kwa walimu wa lugha ya Kijerumani wa shule za msingi, sekondari na
  • ngazi ya chuo kikuu, and elimu ya watu wazima
  • Kwa wakufunzi wa walimu

Mafunzo ya lugha

maalumu kwa walimu wa lugha ya Kijerumani
katika kozi za ujumla za lugha


Wafuatao wanaweza kushiriki:

1. Wanaofadhiliwa na Goethe-Institut

Goethe-Institut hutoa ufadhili kwa walimu wa lugha ya Kijerumani kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo ya kitaaluma nchini Ujerumani.

Maelezo zaidi/kutuma maombi


2. Wanaopewa ruzuku

Walimu wa lugha ya Kijerumani na wakufunzi wa walimu wa lugha ya Kijerumani wanaolipa ada za semina kupitia ruzuku kutoka kwenye taasisi za nchini mwao (Sokrates, Wizara ya Elimu, nk.).

Maelezo zaidi

Endapo unahitaji kufanya maombi kupitia wakala wa Sokrates aliyepo nchini kwako kupitia programu ya COMENIUS 2.2c, tafadhali omba upatiwe taarifa zaidi kutoka ofisi za wakala wa Sokrates


3. Wanaojigharamia wenyewe

Washiriki wanaojilipia ada za semina pamoja na gharaza za usafiri na malazi wao wenyewe.