Maendeleo ya Kitaaluma nchini Tanzania

Fortbildung in Tansania © John Lusingu

Goethe-Institut Tanzania hutoa semina na matukio mengine kwa  walimu wa lugha ya Kijerumani.

Angalizo

Goethe-Institut Tanzania haitoi mafunzo ya ualimu wa Kijerumani. Hata hivyo, ili kukidhi vigezo vya kufundisha Kijerumani kama lugha ya kigeni, Goethe-Institut hutoa kozi inayotambulika kimataifa
Programu ya mafunzo kwa njia ya mtandao