|
6:30 PM
Muvi Kali: Short Export - Made in Germany 2024
Filamu|Selected Short films, Various Directors, Duration: 93 minutes
-
Goethe-Institut Dar es Salaam, Daressalam
- Lugha Lugha asili iliyo na manukuu ya Kiingereza
- Bei Bure
Short Export – Made in Germany 2024 ni tolea ya 19 ya maonyesho za filamu fupi zilizo tengenezwa Ujerumani. Zamu hii utaweza kuangalia tafisri za watengeneza sinema juu ya mahusiano ya jamii na watu kwa watu ndani ya mazingira tofauti. Filamu za toleo hii zime chaguliwa kutoka filamu 500 ziliandikishwa kushindanishwa kwenye Tamasha ya filamu fupi ya Clermont-Ferrand. Filamu sita zilizo pita zime pewa fursa hii kutokana na uwezo wake wa kufikisha ujumbe wao juu ya mabdiliko ya kijamii na siasa.
Short Export ni mradi shirkisho kati ya Ujerumani na Ufaransa kwa jina la SOIRÉE ALLEMANDE – COUP DE COEUR – LE COURT MÉTRAGE ALLEMAND.
Short Export ni mradi shirkisho kati ya Ujerumani na Ufaransa kwa jina la SOIRÉE ALLEMANDE – COUP DE COEUR – LE COURT MÉTRAGE ALLEMAND.
Mahali
Goethe-Institut Dar es Salaam
Alykhan Road No. 63, Upanga
P.O. Box 9541 Daressalam
Tansania
Alykhan Road No. 63, Upanga
P.O. Box 9541 Daressalam
Tansania