Michezo ya Ubao Deutsch-Kijiweni

Deutsch Kijiweni Photo: Reinhard Christopher © Goethe-Institut

We, 22.01.2020 -
We, 26.02.2020

5:00 PM - 7:00 PM

Goethe-Institut Dar es Salaam

Kila Jumatano

DEUTSCH-kijiweni ni klabu ya Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani-Goethe ambacho kinalenga kuwa sehemu ya mabadilishano ya utamaduni kati ya Ujerumani na Tanzania. Kupitia klabu hii, washiriki kutoka katika tamaduni mbalimbali wanaweza kukutana na kushirikishana mawazo ya shughuli fulani, muziki, chakula na Zaidi.
 
Timu ya Deutsch-Kijiweni inakualika katika Wednesday’s gamenight ambapo pia utaweza kufahamu haswa juu ya German board games!
Utaweza pia kujua sehemu fulani ya utamaduni wa Ujerumani na hakika kufarahia mjumuiko wetu katika michezo ya kupiga kete, kucheza karata na Zaidi
 
Acha michezo ianze!

Nyuma