Mein Weg nach Deutschland© Alina Holtmann / Maridav

Mein Weg nach Deutschland

Free integration programs

If you have already applied for a visa or are already living in Germany, the Welcome Coaches at six Goethe-Instituts in Germany offer free events to help you get off to a good start in Germany and integrate successfully into everyday and working life.

For a good start in Germany

If you have already applied for a visa or are already living in Germany, the Welcome Coaches at six Goethe-Instituts in Germany offer free events to help you get off to a good start in Germany and integrate successfully into everyday and working life.

Free integration programmes

Kuiona na kuisikia Ujerumani

Je, ungependa kuifahamu Ujerumani kwa njia tofauti? Hapa unaweza kutazama video na kusikiliza podikasti. Hapa utapata hadithi za watu ambao wamekuja Ujerumani.
 
Kuishi Ujerumani

Unatarajia kwenda Ujerumani au tayari upo hapo? Utapata matini fupi zilizosheheni taarifa kuhusu kuishi Ujerumani katika sehemu hii

Kufanya mazoezi ya Kijerumani

Unataka kufanya mazoezi ya Kijerumani? Hapa unaweza kupata filamu na picha pamoja na mazoezi, michezo na mazoezi ya kuishi Ujerumani. Tafadhali zingatia kwamba sehemu hii ya tovuti hupatikana kwa Kijerumani tu.
 
Kupata msaada

Je una maswali au matatizo yoyote? Hapa utapata msaada kwa njia ya ushauri, anuaini muhimu na kamusi

You see the face of a young woman sitting in front of a building and looking serious. © Goethe-Institut

Nyumba za habari na Wakufunzi wa Kukaribisha

Je, wewe ni mgeni nchini Ujerumani na ungependa usaidizi kuhusu mwelekeo wako wa kwanza? Je, una maswali yoyote au ungependa kuwasiliana na watu wengine kwenye eneo husika? Unaweza kujua zaidi kuhusu kuishi na kufanya kazi Ujerumani na kufanya mazoezi ya Kijerumani katika Taasisi sita za Goethe na nyumba 35 za habari. Wakufunzi wa kukaribisha pia watakusaidia katika uelekeo wako wa kwanza nchini Ujerumani.

Kwa maelezo zaidi
Graphic map of Germany with the locations of the info houses marked on it Grafik: Carolin Eitel © Goethe-Institut